Wednesday 19 August 2015

Mama- Bahati Lyrics


Bahati Bahati Tena Flame International Mwanabuja 
Wee Mi Naimbia Mama, Mi Nasifu Mama,

Chorus
Mama Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama 
Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana 
Maana Kubwa Kwangu Mummy Ndio Nakuimbia Mama 
Zawadi Nono Kwangu Haki Kutoka Kwa Maaulana 

Verse 1
Nimetu dakika Keti Chini Nikuambie 
Nachukua hii fursa Mama Wacha Nikuimbie 
Nimetu dakika Keti Chini Nikuambie 
Nachukua hii fursa Na Dunia Isikie 
Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu 
Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu (Mama) 
Miezi Tisa Ndani Yako Kanibeba Uchovu 
Na Miaka Tisa Kando Yako Ukinitoa Uovu 

Chorus

Verse 2
Uuu Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga 
Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha (Mama) 
Utovu Wa Nidhamu Ndani Yangu Ukaupiga 
Na Ndoto Za Utotoni Ukanipa Motisha 
Mwanangu Unaweza Lolote  
Ukijikaza utafika popote, Mwana, 
Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote 
Mwanangu Unaweza Lolote 
Ukijikaza utafika popote, Mwana,
Unaweza Lolote Maono Mengi Ulifanya Niote 

Chorus

Verse 3
Ulijinyima Nipate Wee, Hukutaka Nikose ee 
Ulijinyima Nipate Wee, Hukutaka Nikose ee 
Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose ee 
Ulijinyima Nipate (Mama), Hukutaka Nikose 

Chorus

End Iiii Mama, Nakupenda Mama Asante Mama RIP Love Yah!!

No comments:

Post a Comment