Wednesday 19 August 2015

Facebook- Rose Muhando Lyrics



Facebook Facebook twitter amekuwa hakimu wa kanisa la leo
Facebook Facebook twitter amekuwa hakimu wa kanisa la leo

Facebook Facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimengu   leo
Facebook Facebook Twitterni kichaa kamili kwa ulimwengu wa leo

ooooh oh!

yoyoyo Jamani ee
yeyeye, Jamani eeh
yeyeye,huzuni eeh
yeyeye, machozi eeh

Kuna baa kubwa nililoliona mimi chini ya jua
Kuna balaa kubwa nililoliona etichini ya jua
Kuna balaa kubwa imezuka jamani chini ya jua
Ati Facebook amekuwa mungu kwa kanisa la leo ,ni ajabu sana
Twitter amekuwa hakiumu kwa kanisa la leo, ajabu sana


ajabu sana  
ajabu sana 
ajabu sana
ajabu sana
Angalia sasa ewe bwana, Kanisa Lako li katika hali mbaya
watu wako wamekua mateka hawajui pa kwenda ni kama upepo. 
Wakristo wamekua wajinga hawajui nyakati za kuchiliwa kwao...




No comments:

Post a Comment