Friday 2 October 2015

Kukachora - Nonini ft Chege lyrics

Intro

Nimeshika kalamu na karasi nikachora

Mistari za ku explan-ia life

Ku-plan, kukachora

Kuna kukachora kalamu nadili


Alafu kuna kukachora na akili

Chorus

Fanya kazi huku na kule

Ukipata rudisha kwa society

Kila saa na ngoma ziuze

Kumbuka give back community

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah


Verse 1

Nipate nairobi nimetulia tu kwa mtaa

Kila kitu poa watu wameng'ara tu kuvaa

Mtaa yako gani we niambie jamaa

Me yangu jiji kuu pande hii ndo tu nakaa

Nipate nairobi nimetulia tu kwa mtaa

Kila kitu poa watu wameng'ara tu kuvaa

Mtaa yako gani we niambie jamaa

Me yangu jiji kuu pande hii ndo tu nakaa

Huku ndoto mzee ndo hukam true

Kutoka Calif nazini hadi leo mgenge true

Ilibidi nmeota ndoto tu so

Nakwama nayo ka kingeta kwa koo

Inastua dream bigi inabidi kukutisha

Ku think big vitu za ku gain za maisha

Mse sijawahi jali kitu hater anasema

Me hujali rhyme gani mpya ya kuspit na kutema


Chorus

Fanya kazi huku na kule

Ukipata rudisha kwa society

Kila saa na ngoma ziuze

Kumbuka give back community

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah



Verse 2

82' ndo ilikuwa mwaka wangu wa kuzaliwa

Namba 2 ndo siku yangu ile siku nili ingia

Kwa hivo tu hapa ndo nilianza kukachora

Mpango true sinisunde story za kupora

82' ndo ilikuwa mwaka wangu wa kuzaliwa

Namba 2 ndo siku yangu ile siku nili ingia

Kwa hivo tu hapa ndo nilianza kukachora

Mpango true sinisunde story za kupora

Kukuwa jamaa average haikuwa mimi

Kudedi msoto sikutaka kujua ni nini

Kaplan mtaani nilianza kuka chora

Same time Big Pin alishinda ile kora

Ndovu kize haijawai fukuza nzi

Mwizi naye hawezi fukuza mwizi

Wagenge true me nakwambia ndo sisi

Tuna keep it 100 mse tu ki-B.C



Chorus

Fanya kazi huku na kule

Ukipata rudisha kwa society

Kila saa na ngoma ziuze

Kumbuka give back community

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah



Verse 3

Talent yako ndo itakuokoa

Vile utakachora vi-true vi-poa

Kukachora ndo ujanja yako

Do or die ama shauri yako

Talent yako ndo itakuokoa

Vile utakachora vi-true vi-poa

Kukachora ndo ujanja yako

Do or die ama shauri yako

Ka kikwama na ku-understand ukiteta

Hapo sasa ndo inabidii unatafuta mentor

Mtu anaku inspire kujijenga

Kisha life simple it better

Kukachora haipatikani kwa makali

Infact hizo ndo zinamalizanga tu maganji

Wala haipatikani kwa ketepa

Chai ya mtaani inibidi tu unaihepa



Chorus

Fanya kazi huku na kule

Ukipata rudisha kwa society

Kila saa na ngoma ziuze

Kumbuka give back community

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Fanya kazi huku na kule

Ukipata rudisha kwa society

Kila saa na ngoma ziuze

Kumbuka give back community

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah

Tulikachora kutoka mtaani, aaaaaaah



Outro

Once you make it always kumbuka

Give back kwa community

Kwa society

Saidia kivyovyote

Mtu yeyote kwa uwezo wako

Na usitake wengi wajue

Tenda wema ndenda zako

Daily tunaishi kwa manyumba rent tunalipa

Lakini duniani hatulipi rent kwa mtu yeyote

Kwa hivyo kusaidia ndugu yangu

Ama dada yako

Anytime ukiweza

Ndio rent wamlipa Mola

Kuishi hii dunia bila kulipa dollar

Sa hio ndio kukachora

Kwa macho ya Jehovah

No comments:

Post a Comment