Saturday 6 January 2018

Hayawani lyrics- Nyashinski



 


Verse 1:
Kabla Suala ukamilishe Mama, Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama, Mashetani yasinivamie
Chuki,wivu tunakutesa, Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda, Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu!, Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu, Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu, Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu yangu simu, Asahau alivyonipenda!
                      Ooo Hayawani

Chorus:
Hayayayaya
Hayawani hawa si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama!
Hayawani, hayayayaya

Verse 2:
Tunaongezea nini bidii?, Na roho ya mwanadamu haitosheki aki
Sorry if I never made u happy
I can't be there for everybody
It's easy to see
Wengi huishi kutafuta kasoro kwako
Why man so money minded
You wanna take from every one
Man eat man society
Huoni haya kuvunja familia
Hamna utu ni kujifikiria
Woii binadamu wote mmegeuka Hyawani!

Chorus:
Hayayayaya
Hayawani hawa si watu hawa
Hayayayaya
Binadamu kageuka mnyama!
Hayawani, hayayayayaya

No comments:

Post a Comment