Tuesday 4 February 2020

Chekecha Cheketua - Ali Kiba Lyrics

Jamaniii mi nataka saule
Kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule
Wanao nitaka ni wengi

Ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
 Unavyo biringa bayondo hivyo
Mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

PopCash.net

Aya chekecha
Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua
Cheke chekecha cheketua  cheke
Chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke
Masia Uluso kitaa Abu Daddy

Penzi alinipa mama nami leo nakupatia
Tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia
Nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo
Mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha
Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua
Cheke chekecha cheketua  cheke
Chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke
Yeah uuh cheke chekecha  aah heyiiii

No comments:

Post a Comment